MUUZA MADAFU IKULU NI KOMANDO ALIYETUA NA HELIKOPTA? KATUONESHA ANAPOISHI “UKIJA VIBAYA NAKUKALISHA"

  Переглядів 467,362

Millard Ayo

Millard Ayo

17 днів тому

MAPYA YA MUUZA DAFU WA IKULU, JE NI KOMANDO ALIYETUA NA HELIKOPTA? UKIJA VIBAYA LAZIMA NIKUKALISHE"
ALIYEUZA MADAFU IKULU AONDOA UTATA KUTUA NA HELIKOPTA MUUNGANO "UKIJA VIBAYA LAZIMA NIKUKALISHE"

КОМЕНТАРІ: 1 700
@basitjuma6081
@basitjuma6081 15 днів тому
Mnaotaka milard awakutanshe wawili hawa Gonga like
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 15 днів тому
Hatuna hata shida nao. waendelee na maisha yao na sisi tuendelee na yetu
@user-yn4di1lj7f
@user-yn4di1lj7f 15 днів тому
Mnachekesha nyny ndo nn ah 😅😅😅😅😅😅😅😅 upumbavu tuu hii nchi
@modekaijames
@modekaijames 14 днів тому
​@@EdwardSamson-uf1eeewaaaah
@davisjuma5887
@davisjuma5887 14 днів тому
haiwezi tokea ata sikumoja kiukweli
@user-hp7rx4zk4t
@user-hp7rx4zk4t 14 днів тому
Niyeye uyo mmoja
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 15 днів тому
"ASKARI HACHAGUI KAMBI " pigia mstari hilo neno halafu twende sambamba na muuza madafu ikulu.
@janetdundul3858
@janetdundul3858 14 днів тому
😂😂😂😂😂😂
@zainabzain3434
@zainabzain3434 14 днів тому
Wanakuwaga hata vichaa mitaa muhimu hivyo yote yanawezekana
@siaammo1104
@siaammo1104 14 днів тому
😅😅😅😅😅
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 14 днів тому
😂😂😂😂😂
@user-vh7ll3vp7w
@user-vh7ll3vp7w 14 днів тому
Huyu jamaa Nyota yake inahitaji ikamilishe kusudi la Mungu Mh. Rais ampe tuuu nafasi'
@Amani-kr9ln
@Amani-kr9ln 15 днів тому
Tunao tamani huyu jamaa akutane na yule comando tujuane hapa kwa like jamani
@user-bo2ry2dy7x
@user-bo2ry2dy7x 13 днів тому
Kweli ili tuamini
@MussaMugumnyi
@MussaMugumnyi 12 днів тому
j​@@user-bo2ry2dy7xñdztþźc, d3e22&8i
@athumanikadaika5817
@athumanikadaika5817 9 днів тому
yaani hajikutanishe mwenyewe aaah bado sijaelewa 🤣🤣🤣
@allidehunter3223
@allidehunter3223 15 днів тому
Security top ukija vibaya lazma uka, Askar hachagui kambi, Raisi ajione yupo salma sanaa (kwa maana ya kwamba kila kona wapo) lugha ya mazungumzo inajielezaa - JAMANII SIO YEYEE ILA NA YY NI MIONGONI MWA WALIOMOO-. 2lio pata mafunzo ya kizalendoa JKT naomba tujiane kweny LIKE APOOH👇.
@MahmudSaidy
@MahmudSaidy 13 днів тому
Huwez elewa kama haujasoma fasihii 😂😂😂
@samboy5033
@samboy5033 13 днів тому
Komando huyu
@sweetrayuzuwiya8375
@sweetrayuzuwiya8375 13 днів тому
Bado hajasema, kwa nini auze madafu ikulu na kwa nini yupo fiti kiasi hicho na kwa nini afanane na komando kama mapacha na kwa nini yupo flexible kwenye pikipiki kiasi hicho?
@user-yb5hh9mr5q
@user-yb5hh9mr5q 13 днів тому
Tulopita jkt kauli kama hizo zipo kwa maafande ,Chengne muuza madafu gan wa nchi gan anaeweza kuongea kauli za kishujaa kama hvyo
@Askari22
@Askari22 12 днів тому
@@sweetrayuzuwiya8375aiseee
@manp9091
@manp9091 15 днів тому
Mnao taka Millard ayo aende kwa comando mpo gonga like hapa
@user-xy6ed7ve6r
@user-xy6ed7ve6r 15 днів тому
Sio aende tu, waitwe wote tuwaone kama ni watu wawili tofauti
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz 15 днів тому
Akienda bila gadi ataambiwa akoroge mike iwe uji halafu anywe😅😅😅
@amiibinam7774
@amiibinam7774 15 днів тому
😂😂😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 днів тому
​@@user-xy6ed7ve6rMILAD AYO MUWONGO WAWEKWE PAMOJA MDIO TUTAMUAMINI
@Ndenza
@Ndenza 15 днів тому
​@@user-xy6ed7ve6rwewe ndo una skil
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 15 днів тому
mnao taka Millard ayo aende kwa comando tujuane kwa kugonga lake
@presidentofafrica.5038
@presidentofafrica.5038 13 днів тому
muuza madafu , anauza madafu hadi anapata hela ya kwenda kulipia chuo cha karatee.., tunaolewana vzr gonga like😁
@jessemadullu2226
@jessemadullu2226 12 днів тому
Ha ha ha! Jamaa wanatuona watoto Sana! Tanzania ya gizani imeshapita! Hatujui kusoma sawa, Ila picha tunaona. Muuza madafu wa kawaida hana ubavu wa kuongea hivi. Anajua zimamoto, FFU, polisi etc.
@IbrahimMohamed-of3sl
@IbrahimMohamed-of3sl 7 днів тому
Na ana bodaboda
@rahmamukhtar521
@rahmamukhtar521 15 днів тому
Safari hiyoooooo Majaliwa mwingine huyooooooo Nchi hii ALLAH akiamua kukutoa kwenye Hali Moja kwenda juu hakuna wa kuzuia
@abdillahiabdallah7530
@abdillahiabdallah7530 15 днів тому
mhhh nchi yoyote mungu akiamua kukuinua
@simonbura7890
@simonbura7890 15 днів тому
Huyo ni komando, na yule wa jirani yake pia anaitwa captain paul Elias, kama mlifatilia maonyesho jana ndo alimtaja kama kiongozi wa wale makomando
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 14 днів тому
Akai hapo
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 14 днів тому
​@@joycekaguo8476yaan mtu wa usalama mnaweza mkawa mnaishi naye sehemu moja na mkawa mnachakarika naye mtaani
@Askari22
@Askari22 12 днів тому
@@johnmwandu2116 hii Nimecheka sanaa
@plukeria600
@plukeria600 11 днів тому
Hqhah
@ezevisionmediastudioezevis7855
@ezevisionmediastudioezevis7855 10 днів тому
@@johnmwandu2116 na kama ni demu anakupa na mzigo kabisaa
@talents7934
@talents7934 15 днів тому
Mmemsikia akisema "Hii ni security Top hazipitiki Njia" kwa wanaojua Hii ni kauli ya kijeshi jeshi
@tamisiliwano5291
@tamisiliwano5291 15 днів тому
kwel kaka maana wana vibao vyao pia huwa wanaadika kuwa hakuna njia Amri😂
@nurumwangoka5924
@nurumwangoka5924 15 днів тому
Na hapo wala sio kwake anazuga
@anoldmmari-mi7qg
@anoldmmari-mi7qg 15 днів тому
Ni sawa ila hizo quote anazotumia zipo kwenye wimbo wa Dizasta vina Tribulations diss track
@AbcD-bn1nz
@AbcD-bn1nz 15 днів тому
​@@tamisiliwano5291😂😂
@peternguma9182
@peternguma9182 15 днів тому
Iyo anamaanisha, security ya juu ya kulinda mipaka
@CyprianBCTanzania
@CyprianBCTanzania 15 днів тому
Wakati wa Mungu kumketisha Mtu juu na Wakuu ukishafika basi amini imekuwa, Bila shaka kabisa ndio wakati wake huyu ndugu yetu kutimia ndoto yake katika maisha na hakika kupitia vinywa vya Watu pia hata kupitia tukio la kufananishwa na moja ya Komando wa JWTZ hii naiona kabisa katika jicho la KiMungu tiki kubwa na tayari imekuwa na zaidi ajiandae tu kupokea maana tayari fursa imeshamfikia mlangoni mwake.
@oprahpelle2531
@oprahpelle2531 10 днів тому
AMUAMINI BWANA WETU YESU KRISTO
@DStvTz.
@DStvTz. 15 днів тому
Hana ndevu na commando Hana ndevu kama umegundua hili ebu gonga like tujuane
@frankdionis7700
@frankdionis7700 14 днів тому
Anaweza kuingiza sana sela
@mussamussa9446
@mussamussa9446 14 днів тому
aliyekwambia komando hana ndevu ni nani, KOMANDO anaweza kuwa vyovyote kulingana na mazingira na hali
@amonymzawaaa8934
@amonymzawaaa8934 14 днів тому
Umenipa akili😂
@jabiryyunus9782
@jabiryyunus9782 14 днів тому
Makomando wana ndevu kama Osama sasa kama hujuii
@Denis_prudence
@Denis_prudence 13 днів тому
@@jabiryyunus9782 unachosema ni kwel kaka ila huyu jaamaa anamaanisha komandoo aliyeshuka kwa helikopta siku ile hakuwa na uchebe na huyu wa hapa hana uchebe..
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 13 днів тому
Walioshtukia jamaa ni muuza madafu wa mchongo, 👇
@issakimvuli2099
@issakimvuli2099 15 днів тому
Inawezekana ikawa co yy,lkn yupo ndani ya system kwa mtazamo wng!
@Raymrash
@Raymrash 15 днів тому
hata mimi naamini hivyo..kwenda kuuza madafu ikulu sio jambo dogo
@itstwinshi2179
@itstwinshi2179 15 днів тому
​@@Raymrash nenda kizembe, ukijua ni ordinary muuza madafu 😂
@MarthaTraceFrancis
@MarthaTraceFrancis 15 днів тому
Jamani ni yeye uyo msidanganywe
@AbcD-bn1nz
@AbcD-bn1nz 15 днів тому
​@@itstwinshi2179😂😂
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 15 днів тому
​@MarthaTraceFrancis kabisa ni yeye bana hivi hata macho yanashindwa kuona kweli?
@SamwelAngelile
@SamwelAngelile 15 днів тому
Hiyo ni code..watafutwe ili wakutane hiyo ni zuga zuga baada ya mda uyo atapoteah na kurud kambin kwake
@ramadhanfadhil1786
@ramadhanfadhil1786 12 днів тому
Anafanyiwa na uhamisho kabisa
@AYUBPAULMWANGOKA
@AYUBPAULMWANGOKA 14 днів тому
Kama nakosoa nitasifia pia. Hii ndyo Kazi ya Millard Ayo TV sio ule umbea siju aliposti mtandaoni mtapoteza uaminifu na Nita mshauri bosii wanotuletea udaku WA mtandaoni Awafukuze Kazi Umefanya Kazi nzuri Sana bro nitamshauri boss aongezo kipato chako usithubutu kutuletea udaku!🎉🎉🎉🎉
@sylvesterchisenga3707
@sylvesterchisenga3707 15 днів тому
"Kama raia mnaacha kuuzima" Tumekushtukia Angalau ungesema"kama raia tunaacha kuuzima
@josephherman201
@josephherman201 14 днів тому
Anajitahidi kuongea kwa kujiweka ndani lakini anajishtukia!
@dicksonmgoga-hj4im
@dicksonmgoga-hj4im 15 днів тому
Nchi yangu naipenda sana, watu wake wanalala muda wanaotaka, kuna watu wanafanyakazi muda wote! Tuendelee kulinda nchi yetu kila mmoja!
@vitalismushi1858
@vitalismushi1858 14 днів тому
Huyu atakuwa anafanya kazi muda wote. Kulala kwake ni kwa machale sana. Commando kutokulala kwa siku kadhaa ni jambo la kawaida kwao.
@dicksonmgoga-hj4im
@dicksonmgoga-hj4im 13 днів тому
Watu wa hivi tunao wengi Sana, ndo maana kitu chochote kinapotokea kinachohatarisha nchi ni haraka Sana kukidhibiti! Pia alimhakikishia Mama Samia atembee kifua mbele Kwa jeshi letu liko macho!
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 13 днів тому
Allahuma Amin
@HanceBablo-ot8sz
@HanceBablo-ot8sz 15 днів тому
God bless you guy
@user-hq9le5wd9g
@user-hq9le5wd9g 13 днів тому
Huyo jamaa ni jirani hapa maweni. Hata mimi kabla ya hizo trend nilikuwa namuangalia sana tu maana mambo yake ni ya kijeshijeshi halafu ni mwepesi balaa , mimi naamini huyo kama siyo yeye basi anatokea huko labda ni mpelelzi wao au ni adhabu kapewa akae kitaa kwa siri
@pascalvitalis
@pascalvitalis 15 днів тому
Security top hazipiti njia, askar achagui kambi, afu mwamba hacheki😂😂😂 i love Tz🎉
@shufaahmmmohamed1833
@shufaahmmmohamed1833 15 днів тому
Umeelewa had ongea yake mmmh huwa hawasemi bana mi bado naona anakitu ndan yake
@baloz8974
@baloz8974 15 днів тому
Ndio hivyo
@mad0060
@mad0060 11 днів тому
Kackilizeni nyimbo za Dizasta vina..... mtaelewa
@shedrackshaibu1986
@shedrackshaibu1986 15 днів тому
Leo anaongea tofaut na mwanzo mwanzo alikuwa anaongea kiha saiz anaongea vizur
@pulikisia7963
@pulikisia7963 15 днів тому
Afu ni kweli.
@laylatmlacha4729
@laylatmlacha4729 14 днів тому
Nimeliona hili
@amonymzawaaa8934
@amonymzawaaa8934 14 днів тому
😂😂😂😂
@HadiaMohammed-ec2dn
@HadiaMohammed-ec2dn 13 днів тому
Kbx yn
@boniphaceemmanuel6604
@boniphaceemmanuel6604 10 днів тому
BAADA YA MIAKA MIWILI MTANIPA MAJIBU, ""acheni kuchokonoa nchi""
@bensonmasanja9862
@bensonmasanja9862 14 днів тому
Hiyo kofia naijua hongera Ndugu
@keagleeagle821
@keagleeagle821 8 днів тому
Hii kofia nili search hadi mtandaoni. Nipe siri Maana imefanana na ya huyo commando
@oshaimuafrica8398
@oshaimuafrica8398 15 днів тому
Gonga like Kama unamkubali komando chapu hapa tiwazidi wote humu
@jastinj.joseph7577
@jastinj.joseph7577 15 днів тому
Huyo ni afsa wa serikali
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 15 днів тому
Dunia wawili kweli... Tunaomba uyu kijana awezeshwe...atafika mbali anakitu....mama yetu .SAMIA. SULUHU HASSAN TUNAKUOMBA. inua kipaji cha uyu kijana wako.....NA MNGU. AKUBARIKI📌🙏
@bensonmasanja9862
@bensonmasanja9862 14 днів тому
Yeah God bless you
@nsuriitv2468
@nsuriitv2468 15 днів тому
HONGERA SANA MILARD AYO KWA KUFIKISHA SUBSCRIBERS 5ML
@user-yn4di1lj7f
@user-yn4di1lj7f 15 днів тому
Asifikishe Kwa upumbavu 😅😅😅😅😅😅
@Elisha-qn8rc
@Elisha-qn8rc 15 днів тому
Namba yako nimeisave nitakutafuta komando wangu❤🎉
@user-sg6lc4te4o
@user-sg6lc4te4o 13 днів тому
Utaskia namba unayopiga kwa sasa haipatikani
@user-id7lc7tk4d
@user-id7lc7tk4d 15 днів тому
Muuza madafu ajieleze vizuri namna iyo ata hakosei
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 15 днів тому
Ni yeye
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 15 днів тому
Kuna jamaa mmoja alikuwa secrets office. Akitoka nyumbani anatoka na suti bag ya lap top na gari. Sasa kuna rafiki ya mke wake akamwambia mbona anamwona mtu posta ni kichaa anafanana na mume wake? Huyo dada alishtuka mume wangu kuwa kichaa. Yule dada ilibidi waongozane naye kwenda posta. Walipofika waliona jamaa kichaa anafanana na mume wake. Basi walichukua baunsa wakamnyakua wakampeleka nyumbani wakamweka store. Wakaa kusubiri kama mume atarudi nyumbani mpaka saa tano za usiku alikuwa hajarudi. Baadae yule bwana kichaa alibidi aseme ukweli kwamba alikuwa kazini.
@magrethhillary5449
@magrethhillary5449 15 днів тому
Duuuh
@fatmamdihiri4164
@fatmamdihiri4164 15 днів тому
Ndio zao Kuna rafiki yangu namjua vzr ndio kazi zake ivyo😂😂😂lkn kanambia ni sisemi watamuhua sababu Ana fichua siri za watu wengi
@magrethhillary5449
@magrethhillary5449 15 днів тому
@@fatmamdihiri4164 kheee sas ua anapata faida gani
@rasnchimbi
@rasnchimbi 15 днів тому
😂😂😂
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 15 днів тому
kama huyoo secret service alishikwa mpaka na baunsa na kwenye usafiri akapelekwa basi alikuwa mzembe sana
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 15 днів тому
Mimi watanzania na wa amini Sana kwahiyo wengi wamesema ni yeye Aya na mimi nasema ni yeye😅😅😅
@oman1oman179
@oman1oman179 15 днів тому
😅😅😅😅😅
@user-bh4up3dg5m
@user-bh4up3dg5m 15 днів тому
Sio yy
@zainabzain3434
@zainabzain3434 14 днів тому
Namie pia ni yeye maana sio kwa mfanano huu
@edwardouma1630
@edwardouma1630 15 днів тому
Uyo jamaa ni usalama wa taifa asikudanganye by fossil nikiwa Nairobi Kenya
@kennedyodera7555
@kennedyodera7555 14 днів тому
Kweli kabixa
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 15 днів тому
Kama ni komandoo na anauza madafu nampongeza anafanya kazi nzuri hongera sana bwashe
@mohamedmfaume5408
@mohamedmfaume5408 8 днів тому
KWELI HUYU NI CHUMA
@collinstemba6040
@collinstemba6040 15 днів тому
Huyu yupo kwenye system 😮
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 15 днів тому
Kabisa ndo yeye
@wemakalama6458
@wemakalama6458 14 днів тому
Ni spy maybe anachunguza kitu mhh kazi ipo
@graysonjohn1080
@graysonjohn1080 14 днів тому
@@wemakalama6458 mnamwonea tuu
@RichWise671
@RichWise671 15 днів тому
Lakin Hii ni Security Top hazipiti njia 🔥🔥🔥
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 15 днів тому
Nomaaaa
@peternguma9182
@peternguma9182 15 днів тому
Maana ni kwamba mwanajeshi wa juu wa kulinda mpaka
@mulanmike1997
@mulanmike1997 14 днів тому
top shelf 🌋
@MfaumeRamadhani-wm9gi
@MfaumeRamadhani-wm9gi 14 днів тому
Hi ni lyrics ya moja ya wimbo wa dizasta vina anatumia kujimwambafai 😂😂😂
@vicentmichael5028
@vicentmichael5028 15 днів тому
Ukiskiliza interview vzr utaelewa
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 15 днів тому
Mama samia msappoti huyu kijana anaweza 💗
@susanmshindo7593
@susanmshindo7593 15 днів тому
Maana Mama mwangalie Kama sie yeye basi muwezeshe Mama yetu
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 13 днів тому
Mara ngapi?
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 15 днів тому
Komando Kama komando picha limeanza ❤❤❤❤❤❤❤❤
@YAHAYAMTOO
@YAHAYAMTOO 15 днів тому
Mmmmh bwana watu ao nawajua vizuri umeona ilo buti na staili zake
@saidihamisi4949
@saidihamisi4949 13 днів тому
Mungu anatisha! Duniani wawili wawili Bora mwenzetu wapili yake yupo hapo hapo. Wewe Sasa wapili wako marekani.
@alicksinkamba3401
@alicksinkamba3401 14 днів тому
Zingatia neno mama Samia awe na Aman kabisa Kwa lile jeshi aliloliona pale
@christophermgaya4670
@christophermgaya4670 15 днів тому
Muuza madafu anafanya mambo yote ya kikomando. Enewei😅😅😅
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 15 днів тому
Watu wawili tofauti, mapua
@user-mb2iq8ht3c
@user-mb2iq8ht3c 15 днів тому
Anamsikiliza sana Dizasta vina
@user-fs8kl1gd7u
@user-fs8kl1gd7u 15 днів тому
Cha kwanza kabisa suruali aliyovaaa angalia kwa umakini ndo utajua.pili buti alilovaa tatu mazungumzo yake.nne yupo fitness kabisa huyo yupo kwenye sesytem
@AZAM_MEDIA
@AZAM_MEDIA 15 днів тому
Wa kwanza
@MichaelJames-tp6co
@MichaelJames-tp6co 15 днів тому
Baas yule komandoo tuombe nayeye awepo kwenye interview na huyu nae awepo😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 днів тому
HAPO SAWA
@annodaboy
@annodaboy 15 днів тому
😂😂😂
@GloryMbwambo
@GloryMbwambo 15 днів тому
Sindo huyo
@GloryMbwambo
@GloryMbwambo 15 днів тому
Acheni kujichanganya ndo huyo huyo wee huon maneno yake Ni kejeli
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 15 днів тому
Waje Wawili wote tuone 😂😂😂😂😂😂😂
@Y.D.c.p
@Y.D.c.p 15 днів тому
Alie beba namba ya comando, gonga like yako hapa chini
@josephandrea8266
@josephandrea8266 15 днів тому
Jukumu la kulinda amani na kudumisha umoja ni la kila mtu . Rais Ajiamini yupo mikono salama
@baloz8974
@baloz8974 15 днів тому
Umesoma hizo kauli
@rukiamkali2091
@rukiamkali2091 15 днів тому
Hio ni kauli ya kujua kua huyo ni mtu wa............
@barakakomba6087
@barakakomba6087 12 днів тому
Kaka hizo lugha za watu wa hitifaki umetisha kwa kugundua hilo 😅
@ajoseph31
@ajoseph31 10 днів тому
Apo me mwenyew ndio nlistuka..
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 6 днів тому
Kauli ya kiume hiyo, huyo mwamba ndo yeye
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 15 днів тому
Ogopa sana mungu na teknollj
@Ablahisaid
@Ablahisaid 15 днів тому
Huyo alikua asijioneshee yengelikua vizr zaid
@user-bh4up3dg5m
@user-bh4up3dg5m 15 днів тому
Sio yy wamefanana tu
@kiuje
@kiuje 15 днів тому
Kwanza mlitakiwa mitumie akili mboni aombi msaada😂
@charlessomi2506
@charlessomi2506 12 днів тому
Asijioneshe aache kufanya majukumu yake kisa watu watamuhisi kua yeye n komando, halafu majukumu yake akayafanye nani
@HamadAlex
@HamadAlex 15 днів тому
Hongera Millard you're now halfway to get another UKposts button
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 11 днів тому
Upo vzr Madafuboy kaz nzur Nimshaur kitu Achana Na Interview Piga kaz Kua nje ya Camera Kitengo watakuekea kitengo maalum so Kua makini Siri ibaki Sirini Mtaji utaongezewa na majukumu utayatimiza
@MichaelJames-tp6co
@MichaelJames-tp6co 15 днів тому
Sawa kaka tuendelee kuuza madafu yetu,
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 15 днів тому
Jamaa anakofia moja ya buku jero ila boot la laki na nusu
@Bruno4cus
@Bruno4cus 15 днів тому
Kawaida iyo Boss si alikuwa mlinzi
@user-pt4ts3ho3g
@user-pt4ts3ho3g 15 днів тому
😂😂 umeona
@innocentlusajo9303
@innocentlusajo9303 15 днів тому
raia mkakamavu!! jah bless man one day yes
@NathanJulius-jv4dw
@NathanJulius-jv4dw 14 днів тому
hahahahhahahaha umeona eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@SamsonGamba-lk6qx
@SamsonGamba-lk6qx 13 днів тому
😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@HusseinBio
@HusseinBio 13 днів тому
Nakubali San mwamba
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 15 днів тому
Wapo tofauti kabisa,
@latifamuhunzi4061
@latifamuhunzi4061 14 днів тому
Na hasa ukiangalia pua zao ndio utaona utaona tofauti zao,ila wa bongo wakisha shupalia jambo si ujuwaga
@VummyEdward
@VummyEdward 15 днів тому
Niyeye ila akiwakazini anajisafisha vizili namafuta mazuli naakiwa kitaa ana kua lafu Ili wasimjue tenauyo nimpelelezi waki kesho nawana mafunzo yakuweka miiliyao tofauti tofauti kulingana na mazingila aminini nawaambia
@sengiyumvaathanas8815
@sengiyumvaathanas8815 15 днів тому
Security top hazipiti njiaa, ukija vibayaa lazima nikukalisheee sijui mnaelewaaaaaaa😀😀😀😀
@twahambowe440
@twahambowe440 15 днів тому
😂😂😂😮
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 15 днів тому
Yap security top lugha za kijeshi izo
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 15 днів тому
😅😅😅😅😅😂😂
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 15 днів тому
Mm naamgalia logo ya kofia yake tu😂😂atakua jasusi huyo
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 15 днів тому
😅😅😅😅
@user-mb2ek2ds1h
@user-mb2ek2ds1h 14 днів тому
Jmn mama Samia sema neno bas kama sio yy mpe nafas jmn
@samboarnold611
@samboarnold611 15 днів тому
Usafi (ndevu ), nidham ya maneno, confidence ... Una juaje mixed martia art ( combat)
@jacquelinesangau4767
@jacquelinesangau4767 15 днів тому
Ni yeye huyohuyo tu
@HusnaSimbila
@HusnaSimbila 15 днів тому
securuty top haipiti njia
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 15 днів тому
Hapo mngemfuata huyo mjeda na yeye ukweli ungejulikana huyo ni yeye anacheza na akili za watu
@IdarousPossy
@IdarousPossy 15 днів тому
Sas unasema ni yey unauhakik?kuliko yeye anaejisemea?kwamba wewe ndio unajifanya unamjua sana au khaaa achen kulazmisha vitu ambvyo huvujui chizi wewe
@SaidiAmiri-qv5ed
@SaidiAmiri-qv5ed 15 днів тому
Huwa hawaonekani ovyo,utampatia wapi hahahahhahahahha makomando
@naah884
@naah884 15 днів тому
Sasa kama ni yeye itakusaidia nn
@SaraMathew-xd2vp
@SaraMathew-xd2vp 15 днів тому
Ten itakuwa vzuri kama wakitutanisha nao wote wawili ili tulizike
@baloz8974
@baloz8974 15 днів тому
Usikatizie rizki yake tumpigie kampeini achukuwe jeshini
@SurprisedMacawBird-qh7dg
@SurprisedMacawBird-qh7dg 13 днів тому
WELL DONE
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 14 днів тому
Pia tofaut
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 15 днів тому
Mpeni kazi huyu kijana naeeza anania halisi Rais sikilia ombi huyu kijana
@user-pb1ug4zr1j
@user-pb1ug4zr1j 15 днів тому
Watu kama hawa wanakuaga wazalendo kwny kazi
@talents7934
@talents7934 15 днів тому
Apewe kazi mara mbili??
@dreamleague-uq2gx
@dreamleague-uq2gx 15 днів тому
Apewe kazi gani nyengine😊😂
@Denis_prudence
@Denis_prudence 15 днів тому
Apewe kazi mara ngapi tena jamaaam?
@daudiissa9256
@daudiissa9256 15 днів тому
Kwei bhana aajiliwe tena
@Raysam-ki1rc
@Raysam-ki1rc 15 днів тому
Aliona A12 agonge like chin hapo
@user-qx6mm2lp2b
@user-qx6mm2lp2b 14 днів тому
😂😂😂 safi sana nimependa mwamba huyu..yes huyu by mm ndiye yule ila taratibu haziruhusu kusema yess cz apo anakaz maalum..na yess be kwanza anahusishwa na yule mwamba alie kua muungano day.pili ana vitu vingi vinavyofanana na sifa ya komando mwenye mazoez maalum pia naye anyone mfano fighting skills..na sura plus mophology yan muonekano wanafanana so conclusion yess ndie..usalama wetu wa yaifa uko vzur safi sanaaaaa..❤❤❤❤❤
@pendosospeter4807
@pendosospeter4807 10 днів тому
Huyu ndo yeye ❤❤bhana
@edwardouma1630
@edwardouma1630 15 днів тому
Uyo ni usalama wa taifa ata mazungumuzo ya ni usalama wa taifa by fossil nikiwa Nairobi Kenya 🇹🇿💪
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 15 днів тому
Ukiona tupo sarama kunawatu wanapambana kwa ajili yenu
@muzzoonlinetv7446
@muzzoonlinetv7446 15 днів тому
Respect
@charlesmaestro1092
@charlesmaestro1092 15 днів тому
Respect true patriots
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 15 днів тому
True respect sana
@mohamedmfaume5408
@mohamedmfaume5408 8 днів тому
KWELI KAKA
@LandrickMtuimara-mb7hl
@LandrickMtuimara-mb7hl 15 днів тому
anamsikiliza sana @dizastavina 🎉🎉
@joshuanassary5072
@joshuanassary5072 15 днів тому
Kauli zake ni tata, very technical...
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 14 днів тому
Umeona eeeh kazi ya kulinda amani kudumisha umoja ni kazi ya kila mtanzania haya ni maneno ya kitaalam kabisa😂😂
@comradejonasrwegoshoramwal5727
@comradejonasrwegoshoramwal5727 15 днів тому
Good interviewer
@CuteMaryam818
@CuteMaryam818 15 днів тому
Nikiangalia pua zao kama tofauti kidogo au itakua ni pacha wake 🤔🤔
@wamisangi2801
@wamisangi2801 15 днів тому
Na mustachi kwa mbali. Uko vizuri.
@lightnessmsuya3170
@lightnessmsuya3170 14 днів тому
Au Mama yao alizaa pacha mmoja akapitea enz hzo ila najiuliza tu maan mmh
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 15 днів тому
Sasa wahojiwe wote wawili wakiwepo pamoja ndo tueze kuelewa vizuri.
@user-kg2tm2eq7q
@user-kg2tm2eq7q 14 днів тому
Swadaktaaa umenena
@reubensileke1713
@reubensileke1713 14 днів тому
Wewe siri kama hizi haiwezi tokea hiyo
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 14 днів тому
@@reubensileke1713 Hahahaha hii nchi unaweza kukuta mtu anauza makaa ukiona hana hata wateja, lakini bado anakomaa na makaa kumbe sio mwenzetu.
@IbraMedan
@IbraMedan 3 дні тому
Noma
@wilget109
@wilget109 15 днів тому
Siye kabx sema wamefanana tu🙌
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 15 днів тому
He is very bright. Kama siyo Askari basi mama mwangalie huyu kijana!
@susanmshindo7593
@susanmshindo7593 15 днів тому
Yap! Kabisa kasoma mwelewa Yuko poa atatufaa ki kazi
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 13 днів тому
Ampe mara ngapi mbona wabongo vilaza sana?
@stivejayngoga1403
@stivejayngoga1403 15 днів тому
Jamaa siyo yeye!! KWASABABU; 1.Huyu jamaa anavindevu(sharubu) yule komando hana kabisa 2. Muundo wa Pua huyu anapua ndefu kuliko yule komando
@ibrahtv5592
@ibrahtv5592 14 днів тому
Duuu yaa wee jamaa😂
@bullahrwabatika8014
@bullahrwabatika8014 8 днів тому
Wauza madafu huwa wana visu vikali saaana vya Likatia madafu rais alienda kununua madafu bila bodyguard yoyote hii inawezekanaje?
@damaka_
@damaka_ 15 днів тому
Nchi yetu ipo salama❤
@ObedMaturo-bd2zr
@ObedMaturo-bd2zr 15 днів тому
Huyu jamaa muongo, yaan upate hel yakununua pkpk alaf ukose hela ya pango😂😂😂
@charlesmashaury1898
@charlesmashaury1898 15 днів тому
Mwambieni atuache tumegoma kukubali kuwa yeye sio kitengo au commando
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 15 днів тому
Huyo ana kazi na mshahara Mkubwa🤓🤓
@ramadhanikashimbiri4851
@ramadhanikashimbiri4851 15 днів тому
Najarib kuunganisha dots kwann atrend kwa madafu , mara komando alaf mwisho ni mpambanaji mashuat, boxing hapo ngoja
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 15 днів тому
najiukiza hivo pia
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 14 днів тому
Yaan umejiuliza km Mimi, yaan hizo dots ukiziunganisha unamalizia kwakusema "NI YEYEEEEEEEEE"😂😂
@CharlesNdege-om5oe
@CharlesNdege-om5oe 11 днів тому
Kwa maneno ya huyu jamaa yanayohusiana na uzalendo pamoja na code za mambo ya usalama na ulinzi hapa ni( ,,,,,,) ngoja nisimalizie tu. Cha kumalizia niseme tu Kamanda hachagui kambi unaweza kuona ni kichaa barabarani kumbe ni Afisa upelelezi 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
@hassanmasoud7891
@hassanmasoud7891 15 днів тому
Uyu msenge kauli zake tata sana yn kumamake kuna usoldier ndan yake
@soundmale
@soundmale 14 днів тому
Haha😂 we tukana2 atakupasua😅
@suzymichaely6938
@suzymichaely6938 13 днів тому
Atakukamata ukauze nae madafu ikulu😂😂😂😂😂😂😂
@official_vanchaz
@official_vanchaz 15 днів тому
Sasa Captain kashawaambia kabisa "hii ni SECURITY TOP HAZIPITI NJIA" bado mmekaza fuvu tu acheni UNANGA Ohoo!!
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 15 днів тому
😂😂😂
@theprincejr1417
@theprincejr1417 15 днів тому
Unanitukan wakat unajitukana😂
@theprincejr1417
@theprincejr1417 15 днів тому
Unamtusi dada angu, ambae ni dada ako pia 😂
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 14 днів тому
hahaha
@abubakarjabir3132
@abubakarjabir3132 14 днів тому
Dizasta vina ana mashabiki wengi sanaa
@EdifonceSylvester
@EdifonceSylvester 15 днів тому
Angalia hayo macho mzee hyo ni hatari sana
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 15 днів тому
Ntaamin siku nkiwaona ote ktk interview ya pamoja
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 15 днів тому
TATIZO SURA MZEE BABA HUCHEKI MIE SITAKI KUAMIN KABISAAA KAMA MTU WA KAWAIDA 😅😅😅 MIE NIKIKUONA NITAPITA MBALI 😅😅
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 15 днів тому
😂😂😂😂😂wewe Wacha woga 😂😂😂 kua na karibu nae
@rogerstarofficial
@rogerstarofficial 15 днів тому
Huyu kashajua watu wamemjua sasa inabidi haendelee na kazi yake ya usalama inabidi ajifanye watu wawili tofauti 😂 alafu kumbukeni media ya millard ayo inasimamiwa sana na serikali maana isingekuwa rahisi millard kumpata huyo jamaa
@user-do4md7jo6x
@user-do4md7jo6x 15 днів тому
😂😂😂😂
@hasnakid
@hasnakid 15 днів тому
😂😅😅
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 15 днів тому
Na siku si nyingi atapotea atahama hapo anapoishi na ndio mwisho wa kazi yake ya uswahilini sababu ameshatambulika.
@kenedyjoram8276
@kenedyjoram8276 15 днів тому
Ni yenye
@Mwanah27
@Mwanah27 15 днів тому
Niyeye kweli mbona kila akiulizwa kuhusu mambo ya kuwa mjeda ana support sana
@Gabriel-xf6fg
@Gabriel-xf6fg 14 днів тому
Kwa jinsi anavyo jieleza kwa ufasaha anaweza kuwa niyey
@allidehunter3223
@allidehunter3223 15 днів тому
👏
@wanzakleruu8648
@wanzakleruu8648 15 днів тому
Kodi inakushinda huna simu kubwa lakini unamiliki boxer😅😅
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 15 днів тому
Pengne hatakiwi kujionesha km huma
@IdarousPossy
@IdarousPossy 15 днів тому
Acha kukalili maisha kwamba unamjua sana au?kwamba hio boxer ulimnunulia wewe yani useme yake?acha ufara na ushamba
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l 15 днів тому
😂😂😂😂😂😂
@mathiasmaguzu8902
@mathiasmaguzu8902 15 днів тому
Hapo sasa
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 15 днів тому
Hiyo ni kawaida wewe ndio mshamba
@smarteventtv232
@smarteventtv232 9 днів тому
Huyu, anafaa apelekwe ata urusi watampokea sana, na mshahara mkuu pia nchi yetu itapata experience modern war
@CharlesNdege-om5oe
@CharlesNdege-om5oe 11 днів тому
Huyo ndiyo huyo Komando na suala la kuwa pale Ikuru ni suala la kulinda usalama na upelelezi wa watu wabaya waingiao ikuru, Trust me guys
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 15 днів тому
Huyu mwamba alitakiwa kuwa kwenye vyombo vyetu sema ndio Ile.......
@Trys6254
@Trys6254 15 днів тому
Nilijua tu
KOMANDO MADAFU AWEKA WAZI KILA KITU BAADA YA KUTOKA IKULU
10:59
Wasafi Media
Переглядів 30 тис.
Піхотинець - про рутину на фронті
00:46
Суспільне Новини
Переглядів 1,2 млн
VITUKO VYA LEONARDO UTACHEKA "UKIWA NA PESA ATA KUZEEKA NI TOFAUTI"
7:54
RAIS SAMIA ASHUHUDIA MAKOMANDO WAKIPIGANA MMOJA ABURUZWA NA GARI
10:00
Millard Ayo
Переглядів 152 тис.
Azam FC 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/05/2024
14:56
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Kalamutz
Переглядів 120 тис.